Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Ushirikiano wa Kimataifa kupambana na Ebola


Mashirika ya kimataifa kwa ushirikiano na serikali mbali mbali zinajaribu kuimarisha juhudi za kupambana na mlipuko wa Ebola huko Afrika Magharibi. Wito unatolewa wa kuwepo na ushirikiano mkubwa kati ya sekta za umaa na binafsi kuushibda uganjwa huo wa hatari.

XS
SM
MD
LG