No media source currently available
Sheikh Ali Abdallah wa mskiti wa Jamia mjini Machakos Kenya anasema ni kosa kwa maafisa wa usalama kufunga misikiti na madrassa, kwani wanaweza kuwatafuta wanaohusika na kusomesha itikadi kali.