Upatikanaji viungo

VOA Mitaani

Maudhui ya wavuvi wa Bagamoyo-VOA Mitaani


Wafanyabiashara wa samaki katika wilaya ya Bagamoyo, Tanzania waelezea changamoto zinazowakabili katika biashara kuu ya uvuvi, miongoni mwao ukosefu wa soko na mahala ya kuhifadhi samaki wanaovua.

XS
SM
MD
LG