Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Viongozi wa Afrika waridhika na mazungumzo yao ya Washington


Viongozi kutoka nchi 50 za Afrika wameeleza kuridhika na mazungumzo ya siku tatu na Rais Barack Obama hapa Washington juu ya ushirikiano mpya kati ya Marekani na nchi zao. Mazungumzo yalifanyika kati ya Ogusti 4 hadi Ogusti 6 2014

XS
SM
MD
LG