Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 19, 2024 Local time: 17:00

Edgar Mosha afanya majaribio kwenye Academy ya Chelsea.


Edgar Mosha
Edgar Mosha
Edgar ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 13 na pamoja na kupenda masomo hasa ya hisabati , sayansi na Kiingereza pia anapenda kucheza mpira wa miguu shuleni kwake huko St.Andrews Nairobi ambapo amechaguliwa pia kuwa kapteni wa timu ya shule yake akiwa anacheza nafasi ya mshambuliaji wakati.

Edgar alifuatana na baba yake Davis Mosha ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa klabu ya Yanga nchini humo na anaeleza uzoefu wake kuhusu soka la Afrika mashariki hususan nchini Tanzania .

Edgar alitembelea studio za idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika(VOA).Na akazungumza nasi.Kusikiliza mahojiano hayo bofya hapa.
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:22 0:00
Kiungo cha moja kwa moja
XS
SM
MD
LG