Alex Ferguson meneja wa Manchester United astahafu
Kandanda Wiki hii, Mei 10, 2013
5
Andy Carroll wa West Ham United akipiga mpira kichwa wakati wa mchuano wao katika Premier League ya Uingereza dhidi ya Newcastle United katika uwanja wa The Boleyn mjini London Mei 4, 2013.
6
Jermain Defoe (kushoto) Tottenham Hotspur akipigania mpira na Steven Davis wa Southamptonfor wakati wa mchuano wa Premier League huko White Hart Lane, London Mei 4, 2013.
7
Eder Balanta wa River Plate (mbele) Lautaro Acosta wa Boca Junior wakipigania mpira wakati wa mchuano wa ligi ya kwanza ya Argentine mjini Buenos Aires Mei 5, 2013.
8
Mchezaji wa Bayern Munich, Thomas Mueller (kati) anasherehekea pamoja na wenzake baada ya kuilaza Barcelona katika nucu finali ya kombe la Mabingwa katika uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona Mei 1, 2013.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017