Bi Theresa May ndiye Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. May aliteuliwa na Malkia Elizabeth wa pili siku ya Jumatano na kuwa mwanamke wa pili kushikilia wadhifa huo ktika historia ya Uingereza.
Ureno iliingia fainali kwa kusuasua na kushinda fainali ya Euro 2016 dhidi ya wenyeweji Ufaransa bila nahodha wao Cristiano Ronaldo
Katika mechi kali na ya kusisimua iliyochezwa jana kati ya Ureno na Poland, Ureno wamefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano ya UEFA EURO 2016 kwa mikwaju ya penati huku mchezaji bora wa Ureno Cristiano Ronaldo akionekana kupwaya katika mechi hiyo.
Nini kinatokea kwenye soka ya Uingereza?
Raundi ya 16 ya michuano ya kandanda ya kombe la Euro 2016 imeendelea kuleta matokea ya kushangaza.
Hatua ya robo fainali ya mashindano ya soka ya UEFA EURO 2016 kuanza kuchezwa weekend hii nchini Ufaransa
Maendeleo ya mashindano ya UEFA Euro 2016 yanayoendelea nchini Ufaransa
Zaidi ya watu 35 walijeruhiwa mjini Marseille Jumamosi jioni baada ya mashabiki wa Russia na wale wa Uingereza kukabiliana.
Mashindano ya mpira wa miguu kwa nchi za Ulaya Euro 2016, yanaanza mjini Paris, Ufaransa.