Jumamosi, Aprili 25, 2015 Local time: 03:20

No records found for this widget:3132


Ramani ya majimbo ya uchaguzi

Loading...

Kampeni za uchaguzi katika picha

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
  • Watu wakipita mbele ya bango kubwa lenye picha ya viongozi wakuu wa mkutano wa kwanza kati ya Asia na Afrika mwaka 1955 huko Bandung Indonesia. Viongozi wa nchi za Afrika na Asia  walikusanyika Bandung Ijuma April 24, kuadhimisha miaka 60 ya umoja wao.
  • watu wakikusanyika kwenye barabara ya  Merdeka mjini  Bandung, Indonesia, April 24, 2015.
  • Viongozi wa Afrika na Asia wakipiga picha wakati bwa mkutano kiuadhimisha miaka 60 ya umoja wao uloanza huko Gedung Merdeka mjini Bandung, Indonesia, April 24, 2015.
  • Watu wapiga picha pamoja na sanamu ya rais wa kwanza wa Indonesia, Bw.Soekarno mjini Bandung, Indonesia, mtu aliyesukuma kuanzishwa kwa uhusiano huo wa kihistoria. April 24, 2015.
  • Wanawake wakisimama kupiga picha na samanu ya rais wa kwanza wa Indonesia Soekarno mjini Bandung, Indonesia, April 24, 2015.
katika picha

katika picha Maadhimisho ya miaka 60 ya ushirikiano kati ya Afrika na Asia

Serehe za kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jumuia ya Nchi Zisizofungamana na upande wowote NAAM zimefanyika Bandung, Indonesia, April 24 2015
katika picha

katika picha Chuki dhidi ya wahamiaji wa kiafrika zinazuka tena Afrika Kusini

Wahamiaji watano kutoka nchi za Afrika wamjeuliwa na wengine kadhaa kujeruhiwa tangu kuanza ghasia dhidi ya wageni huko Durban. Rais Jacob Zuma ametoa wito wa kusitishwa mara moja ghasia hizo.
katika picha

katika picha Watu 18 wauwawa Mogadishu kutokana na shambuliop la Al Shabab

Msemaji wa wizara ya usalama Mohamed Yusuf ameiambia Idhaa ya Kisomali ya sauti ya Amerik, kwamba watu 18 waliuwawa na wengine wasiopungua 15 walijeruhiwa katika shambulizi kwenye wizara ya elimu ya juu ya nchi hiyo.
katika picha

katika picha Mkutano wa viongozi wa mataifa ya Amerika Kaskazini na Kusini

Rais Barack Obama na Raul Castro wa Cuba wakutana mjini Panama kando ya mkutano wa viongozi wa mataifa ya Amerika ya kaskazini na kusini, ikiwa mara ya kwanza kwa viongozi wa nchi hizo mbili kukutana baada ya miaka 50 ya uhusiano wa uhasama.

Uchaguzi Marekani 2012 Habari

No records found for this widget:3133


Hotuba ya Rais Obama kukubali ushindi

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Hotuba ya Rais Obama kukubali ushindii
|| 0:00:00
...    
🔇
X
07.11.2012 07:58
Supporters at President Barack Obama's campaign headquarters in Chicago waved flags and cheered as Obama walked on stage and delivered his victory speech to thousands in Chicago, Illinois.

Piga kura sasa! Obama au Romney

Hifadhi ya kura za maoni

Jinsi Wamarekani wenye asili ya Kiafrika walivyopiga kura

si Wamarekani wenye asili ya Kiafrika walivyopiga kura mwaka 2004 na 2008

si Wamarekani wenye asili ya Kiafrika walivyopiga kura mwaka 2004 na 2008

VOA60: Tucheze Uchaguzi

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
CAN_Hereve_Renard_Ivory_Coast_480i
|| 0:00:00
...  
🔇
X
09.02.2015 18:28
video

video CAN Mashabiki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo washerehekea ushindi wa timu yao

CAN- DRC fans dancing in Bata as they win against Congo
video

video Polisi wa Misri wa wafurusha waandamanaji Cairo

Polisi wametumia mabomu ya kutowa machozi na mabomba ya maji kuwafukuza maelfu ya waandamanaji walopinga uwamuzi wa mahakama kufutilia mbali mashtaka dhidi ya rais wa zamani Hosni Mubarak.
video

video Kama huna kazi Kisumu

Vijana wanatafuta mbinu mbali mbali za kubuni kazi baada ya kukamilisha el;imu bila ya kupata ajira huko Kisumu
video

video Rais Mohamud wa Somalia atembelea Barawe

Rais wa Somalia ameutembelea mji wa bandari wa Barawe, ngome ya mwisho ya kundi la Al-Shabab ulokombolewa na wanajeshi wa Somalia na Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa Somalia AMISOM.
Zaidi