Jumatatu, Novemba 30, 2015 Local time: 03:50

Kanda

Jeshi la DRC la pata ushindi dhidi ya ADFi
X
18.02.2014 22:21
Jeshi la Congo linaendelea na ushindi wake dhidi ya wapiganaji wa Uganda wa ADF-Nalu kari bu na Beni

Jeshi la DRC la pata ushindi dhidi ya ADF

Published 19.02.2014

Jeshi la Congo linaendelea na ushindi wake dhidi ya wapiganaji wa Uganda wa ADF-Nalu kari bu na Beni


You May Like

Papa atoa Wito wa Umoja huko Jamhuri ya Afrika ya Kati

Akiwa katika ziara yake mjini Bangui, Papa anataraji kuleta muelewano kati ya waislamu na wakristo akiwambia inabidi kuacha kando tofauti zao na kuangalia maendeleo ya taifa. Zaidi

katika picha Papa Francis Atembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Papa Francis ametoa wito wa Umoja huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwataka wananchi kutoruhusu tofauti za kidini kuwagawanya, akiwa katika kituo cha mwisho cha ziara yake ya Afrika. Zaidi

video Papa awataka Waganda kuishi kwa amani

Papa Francis awataka Waganda kuwasaiudia wenzao katika kumtumikia Mungu Zaidi

Papa Francis Awataka Waganda Kuwatumikia Wenzao

Papa Francis aliwahimza waganda kuwatumikia wenzao kwa moyo wa ubinadamu na unyeyekevu, hasa wazee, maskini na waloachwa au kupoteza familia zao, Zaidi

katika picha Papa Francis azungumza na Waganda

Akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya Uganda Pape Francis ameongoza misa yake ya kwanza nchini humo, na kuzungumza na vijana, akisena dunia inaiangalia Afrika kama bara la matumaini. Zaidi