Ijumaa, Novemba 27, 2015 Local time: 02:08

Kanda

Sudan KUsini yakumbwa na ghasia za kisiasai
X
20.12.2013 08:20
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atowa wito kwa viongozi wa Sudan Kusini kutanzua mzozo wao wa kisiasa kwa njia ya majadiliano.

Sudan KUsini yakumbwa na ghasia za kisiasa

Published 20.12.2013

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atowa wito kwa viongozi wa Sudan Kusini kutanzua mzozo wao wa kisiasa kwa njia ya majadiliano.


You May Like

video Misa ya Kwanza ya Papa Kenya

Papa Francis ameongoza misa yake ya kwanza Afrika mjini Nairobi kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi akitoa wito kwa upendo amani na muelewano. Zaidi

Maelfu wahudhuria ibada ya Papa Nairobi

Maelfu ya waumini wa kanisa katoliki wakiandamana na watu wa tabaka mbalimbali walikusanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha Nairobi huko nchini Kenya siku ya Alhamisi hili kumuona na kumsikiliza kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani, Papa Francis, akiongoza misa yake ya kwanza barani Afrika. Zaidi

Nchi za Afrika zapewa tahadhari kulinda makundi ya watu wa asili.

Ripoti ya Kamishna ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Afrika yazinduliwa na kumulika jamii za walio wachache ziko hatarini. Zaidi

Papa aendelea na ziara Afrika

Tunamatumaini kwamba ziara ya papa itaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa mioyo ya watu wa jamhuri ya afrika ya kati, ambayo itapelekea kurejea Amani na kurejea kwa waislamu na wakristo kuishi pamoja. Hili litapelekea maendeleo ya taifa. Zaidi