Ijumaa, Novemba 27, 2015 Local time: 23:48

VOA Mitaani

Waafrika Kusini waomboleza kifo cha Madibai
X
06.12.2013 22:03
Waafrika kusini pamoja na dunia nzima waomboleza kifo cha Nelson Mandela

Waafrika Kusini waomboleza kifo cha Madiba

Published 07.12.2013

Waafrika kusini pamoja na dunia nzima waomboleza kifo cha Nelson Mandela


You May Like

video Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa atembelea TRA

waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa, alifanya ziara ya ghafla Ijuma Novemba 27, 2015 katika bandari ya Dar Es Salaam na kutangaza hatua za kuwafukuza maafisa waandamizi wa Mamlaka ya Mapato TRA, kutokana na ubadhirifu ulogunduliwa. Zaidi

sauti Papa ahitimisha ziara yake Kenya

Papa Francis amewalaumu matajiri wanaohusika na rushwa na kutaka juhudi zifanyike kupambana na tatizo kubwa la ukabila nchini Kenya. Zaidi

katika picha Papa Francis Awasili Uganda akiendelea na ziara yake ya Afrika

Papa Francis Awasili Uganda kuendelea na ziara yake ya Afrika Zaidi

Kamishna Mkuu Mamlaka ya Mapato Tanzania Asimamishwa Kazi

Kwa mijibu wa taarifa za tangazo ambalo limetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, Rais Magufuli amemsimamisha kazi kiongozi huyo wa TRA baada ya kugundulika kupitishwa Makontena zaidi ya 300 kinyemela katika bandari ya Dar es salaam. Zaidi