Alhamisi, Novemba 26, 2015 Local time: 11:41

Katika Picha

  • Maafisa wa bandari ya Kenya na Idara ya Wanyamapori wakipanga pembe za ndovu katika kontaina kwenye bandari ya Mombasa, July 8, 2013.
  • Afisa wa Idara ya Wanyamapori akishikilia moja ya pembe za ndovu zilizoonyeshwa nje ya bandari ya Mombasa, July 9, 2013.
  • Maafisa wa Idara ya Wanyamapori wakionyesha pembe za ndovu zilizoonyeshwa nje ya kituo cha polisi cha bandari ya Mombasa July 9, 2013.

Kenya yakamata shehena nyingine ya pembe za ndovu

Published 10.07.2013

Maafisa wa Kenya wamekamata shehena nyingine ya pembe za ndovu bandarini Mombasa ikielekea Malaysia kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja.