Maafisa wa uwokozi wanasema jengo la biashara la gorofa 8 liliporomoka katika kitongoji cha Dhaka na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 140 na mamia wengine kujeruhiwa
Jengo la biashara la poromoka Bangladesh
1
Watu wakusanyika kwenye jengo la Rana Plaza wakati watu wanajaribu kuwaokowa wafnaykazi wa viwanda vya kushona nguo walokwama ndani ya vifusi katika mji wa Savar, kilomita 30 kutoka Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.
2
Wafanyakazi wa uwokozi wanawatafuta walonusurika baada ya jengo la gorofa nane kuporomoka huko, Savar, Bangladesh, April 24, 2013.
3
Wafanayakazi wa uwokozi wanaunganisha vitamba kumshusha muathirika aliyenusurika katika ajali ya jengo kuporomoka huko Savar, near Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.
4
Mtu aliyekwama ndani ya vifusi vya jengo la gorofa 8 akiokolewa baada ya jengo kuporomoka huko Savar, karibu na Dhaka, Bangladesh, April 24, 2013.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017