Published 06.02.2013
Kampeni zisizo rasmi za uchaguzi mkuu wa Kenya zimaenaza baada ya wagombea kuidhinishwa na tume huru ya uchaguzi. Katiba inaeleza kampeni kuanza siku 21 kabla ya tarehe ya uchaguzi