Published 01.02.2013
Hillary Clinton alikamilisha wadhifa wake kama waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Februari 2, 2013. Mnamo miaka minne alitembelea mataifa 112 na kuendeleza diplomasia ya Marekani kote duniani.