Jumanne, Februari 09, 2016 Local time: 04:19

  Katika Picha

  • Rais Jakaya Kikwete amkaribisha Rais Joseph Kabila Dar-es-Salaam
  • Rais Joseph Kabila apokelewa Dar es Salaam
  • Rais Jakaya Kikwete na Rais Joseph Kabila wakitumbwizwa na wanamuziki
  • Rais Jakaya Kikweti wa Tanzania na Rais Kabila wa DRC wakaribishwa na ngoma za kiyenyeji
  • rais Jakaya Kikwete wa Tanzania (kulia) na Rais Joseph Kabila wa DRC (kushoto) waelekea Ikulu

  Rais Kabila apokelewa na rais Kikwete Dar es Salaam

  Published 31.01.2013

  Rais Joseph Kabila afanya ziara ya siku moja Tanzania baada ya kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Umoja wa afrika AU mjini Addis Abeba, Januari 30,2013