Published 22.01.2013
Mwimbaji Jennifer Hudson akiimba wimbo wa "Let's Stay Together," huku Rais U.S. Barack Obama na mkewe Michelle wakifungua ghafla mbili jumatatu usiku kuasherehea kuanza mhula wake wa pili.