Published 16.01.2013
Vikosi vya nchi kavu kutoka Ufaransa viko Mali kusaidiana na Jeshi la Afrika na jeshi la anga la Ufaransa ili kupambana na wanaharakati wa makundi ya kislamu yeneyoshikilia maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo.