Published 07.01.2013
Marekani inaeleza kwamba mpango wa Rais Bashar al-Assadwa kuitisha mkutano wa maridhiano hauambatani na ukwekli wa mambona na ni juhudi nyinge za kutaka kun'gn'gania madaraka.