Published 25.12.2012
Papa Benedict atoa wito wa kukomeshwa umwagikaji damu Syria, Lebanon, Irak na kwengineko, wakati wakristo wakisherekea Krismasi kote duniani.