Published 17.12.2012
Umati wa watu ulikusanyika katika ukumbi mkubwa wa shule ya sekondary ya Newtown kumkaribisha Rais Obama aliyehudhuria ibada ya dini zote kuwakumbuka waathiriwa 26 walouliwa katika mji huo..