Published 04.12.2012
wapinzani wa Rais Mohamed Morsi wa Misri waliandamana mjini Cairo miongoni mwa maandamano kadhaa iliyofanyika Jumanne kote nchini. Maandamano yalianza baada ya Rais Morsi kujitangazia madaraka zaidi..