Jumamosi, Februari 13, 2016 Local time: 01:22

  Katika Picha

  • Wapiganaji wa M23 wakiupanda mlima uliyoko takriban kilomita 6 kutoka mji wa Goma, December 3, 2012.
  • Wanajeshi wa serikali FARDC wanawasili Goma, DRC, December 3, 2012.
  • wanajeshi wa serikali ya kongo FARDC, mjini Goma, DRC, December 3, 2012.
  • Polisi wa taifa wa Congo (PNC) wakusanyika tena kwenye uwanja wa mpira kupata amri kutoka makamanda wao, Goma, Congo, December 3, 2012.
  • A Police Nationale du Congo (PNC) officer outside a stadium in Goma, eastern Congo, December 3, 2012.
  • Wakazi wa Kongo walokoseshwa makazi wakisubiri ugavi wa chakula katikia kambi ya  Mugunga 3 nje kidogo ya mji wa mashariki wa Goma, December 2, 2012.

  Waasi wa M23 waondoka Goma

  Published 03.12.2012

  Wapiganaji wa M23 waondoka Goma baada ya serikali ya Kinshasa kukubali kuzungumza nao