Published 24.11.2012
Wapiganaji wa kundi la M23 wanaelekea kusini katika jimbo la Kivu Kusini baada ya kuuteka mji wa Sake ulioko magharibi ya Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini siku ya Ijuma.Wananchi wanakimbia mapigano wakibeba kila wanachoweza kubeba.