Published 23.11.2012
Maelfu ya watu walikusanyika tena kwenye uwanja wa Tahrir mjini Cairo na miji mingine kote Misri kulalamika dhidi ya amri ya Rais Mohamed Morsi kujitangazia madaraka zaidi.