Published 10.05.2013
Mvua nyingi zimesababisha mafuriko na maafa makubwa katika sehemu mbali mbali za Kenya lakini kwa mji wa mombasa mvua kidogo tu husababisha kero kwa wakazi.