Bwana Obama aliapishwa kisheria Jumapili ikulu kwa sababu katiba inataka rais kuapishwa Januari 20. Jaji mkuu John Roberts aliongoza taratibu za kuapishwa kwa rais kama alivyofanya mwaka 2009. Zaidi
Zaidi
President Obama and Vice President Biden held private swearing in ceremonies on Sunday.