Ripoti ya Benki ya Dunia inasema Tanzania inapoteza mabilioni ya dola kwa sababu ya utendaji mbaya wa bandari ya Dar es Salaam.
White House yasema Bw. Obama atakwenda Tanzania, Afrika Kusini na Senegal.
Polisi mjini Kampala wafunga magazeti mawili na kituo cha redio na kuvamia ofisi za gazeti la Daily Monitor.