Jumatano, Novemba 25, 2015 Local time: 03:09

Habari / Afrika

Zimbabwe kupiga kura juu ya katiba mpya

Wanaharakati wa kidemokrasia wanapinga tarehe ya kura ya maoni na wametishia kupeleka malalamiko yao mahakamani.

Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai

Waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai anasema nchi hiyo inatarajiwa kufanya uchaguzi wa bunge na urais mwezi Julai baada ya kupiga kura  maoni juu ya katiba mpya mwezi Machi.
 
Alisema hayo  Jumatano baada ya waziri wa maswala ya katiba Eric Matunenga  kupanga tarehe ya Machi 16 kwa ajili ya kupiga kura ya maoni.
 
Katika mkutano na waandishi wa habari huko Harare , Matinenga alieleza wasi wasi wake kuwa muda hautoshi na pengine muda zaidi huenda ukahitajika kwa ajili ya uchaguzi wa Machi.
 
Baraza la kitaifa la bunge (NCA) ambalo linajumiwsha makundi  ya harakati za kidemokrasia   huko Zimbabwe  limesema  litapinga tarehe  upigaji kura wa maoni  hapo Machi 16 mahakamani .
 
Katika mahojiano na Sauti ya Amerika mwenyekiti NCA Lovemore  Madhuku amesema kundi lake linataka serikali itoe kipindi cha mdahalo cha  miezi miwili hivi  kabla ya wapiga kura kufanya uamuzi wao juu ya katiba mpya.

Chama cha Bw. Tsvangirai cha MDC na kile cha  rais Robert Mugabe cha ZANU PF wote wanaunga mkono  mabadiliko hayo mapya.
Jumuiya ya maendeleo ya Afrika Kusini inataka  katiba mpya  iidhinishwe kabla  ya Zimbabwe kufanya uchaguzi mkuu.

You May Like

Jioni

Jioni

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express

VOA Express

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Alfajiri

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one
 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Jioni
  29 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Viziwi Uganda wajitayarisha kwa ziara ya Papa Francisi
|| 0:00:00
...  
 
X
23.11.2015 20:11