Jumatano, Novemba 25, 2015 Local time: 15:10

Habari / Afrika

Wapiganaji wa M23 wateka miji zaidi Mashariki ya Congo

 • Wakimbizi wakimbia vita wakibeba mali zao kutoka Sake kuelekea maeneo ya usalama
 • Chombo cha kufyetulia mizinga iliyoachwa nyuma na wanajeshi wa serikali, FARDC, katika mji wa Goma
 • Wakimbizi wanaokimbia vita waelekea maeneo ya usalama
 • Mpiganaji wa M23 juu ya silaha zilizopatikana Goma
 • Wapiganaji wa M23 waelekea Minova kusini mwa mji wa Goma
 • Silaha zilizoachwa na jeshi la FARDC mjini Goma

Wapiganaji wa kundi la M23 mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaendelea na mashambulizi yao kama walivyo ahidi kwa kuteka miji zaidi siku ya Ijuma.

Mapigano makali yaliripotiwa katika mji wa Sake magharibi ya Goma mji mkuu wa Kivu Kaskazini, na kufikia Alhamisi usiku wakuu wa M23 walidai kwamba wamewarudisha nyuma majeshi ya serikali yaliyojaribu kuwaondowa kutoka ngome hiyo yao.
Mahojiano na Asoumani Mundelwa
Mahojiano na Asoumani Mundelwai
|| 0:00:00
...    
 
X

Ijuma asubuhi wapiganaji waliripotiwa kuingia katika mji mwngine wa Minova wakielekea kusini katika lengo la kuingia Kivu Kusini.

Wakati mapigano yalipokuwa yanandelea Rais Joseph Kabila alimsimamisha kazi mkuu wa jeshi la nchi kavu Jenerali Gabriel Amisi, akituhumiwa kwenye ripoti moja ya Umoja wa Mataifa, kwamba amekuwa akiendesha mtandao wa kusambaza silaha kwa wawindaji haramu na makundi ya waasi, likiwemo kundi la Mai Mai Raia Mutomboki.
Mapigani yaendelea mashariki ya DRC
Mapigani yaendelea mashariki ya DRCi
|| 0:00:00
...    
 
X

Jenerali Amisi amekanusha ripoti hizo. Msemaji wa serikali Labert Membe amesema mkuu huyo amesimamisha kazi wakati uchunguzi unaendelea.

Mazungumzo ya Amani Kampala
Rasi Yoweri Museveni wa Uganda akiwa Entebbe, Uganda, April 24, 2012.Rasi Yoweri Museveni wa Uganda akiwa Entebbe, Uganda, April 24, 2012.
x
Rasi Yoweri Museveni wa Uganda akiwa Entebbe, Uganda, April 24, 2012.
Rasi Yoweri Museveni wa Uganda akiwa Entebbe, Uganda, April 24, 2012.

Katika juhudi za kutafuta suluhisho kwa mzozo huo wa mashariki ya Congo Rais Yoweri Museveni aliwapelekea viongozi wa M23 helikopta na kuwasafirisha hadi Kampala ambako tayari Marais Paul Kagame na Joseph Kabila wanakutana kulijadili suala hilo la uwasi wa mashariki ya Congo.

Siku ya Jumamosi viongozi 11 wa mataifa ya kanda ya Maziwa Makuu wanakutana pia Kampala kujadili juu ya kupelekwa kikosi cha Kiafrika kupambana na makundi ya waasi huko mashariki ya Kongo.
Museveni akutana na Kabila na Kagame
Museveni akutana na Kabila na Kagamei
|| 0:00:00
...    
 
X
Msemaji wa M23 aliambia Sauti ya Amerika kwamba walivamia Goma katika lengo la kumlazimisha Rais Kabila kuzungumza nao juu ya madai yao.

Tanzania na Burundi za onya kwamba uvamizi wa M23 huko Goma kutazusha matatizo makubwa kwa nchi za kanda hasa watu wanaokimbia vita. Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Tanzania na Burundi wamewataka waasi hao kuondoka Goma mara moja
Viongozi wa M23 mjini Kampala
Viongozi wa M23 mjini Kampalai
|| 0:00:00
...    
 
X

You May Like

Alfajiri

Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Jioni

Jioni

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express

VOA Express

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one
 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Viziwi Uganda wajitayarisha kwa ziara ya Papa Francisi
|| 0:00:00
...  
 
X
23.11.2015 20:11