Jumatano, Februari 10, 2016 Local time: 15:48

  Habari

  Pepe Ndombe afariki kutokana na mshtuko wa moyo

  Pepe Ndombe Opetum alipata umarufu wake miaka ya sabini wakati alipokua na bendi ya Tout Puissant Ok Jazz.

  Pepe NdomeOpetum,
  Pepe NdomeOpetum,
  Saleh Mwanamilongo

  Ndombe Opetum  maarufu YA PEPE alianza muziki akiwa na umri wa miaka 18, alianzia kwenye bendi ya Afrikan Fiesta ya Pascal Rochereau Tabu ley.

  Ndombe Opetum alijipatia umaarufu baada ya kuondoka kwenye bendi hiyo ya African Fiesta kwa wanamuziki Sam Mangwana, Mavutico na wengine .

  Pepe Ndombe ameacha kibao kipya cha muziki ambacho ametoka kurikodi.Mwanamuzi Adolphe Do Minguez ambae nilimkuta kwenye studio ya kurikodi nyimbo amelezea ujasiri wa Pepe Ndombe

  Wizara ya utamaduni na sanaa imepanga kumuandalia maziko ya heshima mwanamuziki huyo ambae mwanae Baby Ndombe amefuata nyoyo za babake nakuwa mwanamuziki chipukizi hapa nchini.

  Pepe Ndombe ametarajiwa kuzikwa wiki ijayo

  You May Like

  Sanders na Trump washinda katika kinyang'anyiro cha New Hampshire.

  Matokeo haya yalifanana kabisa na matokeo ya hivi karibuni ya kura za maoni. Zaidi

  Trump, Sanders washinda New Hampshire

  Trump na Sanders wataondoka New Hampshire na ushindi wakiingia katika awamu ifuatayo ya uchaguzi wa awali katika majimbo ya kusini mwa nchi Zaidi

  Kushuka kwa bei za mafuta zaathiri uchumi kwa wazalishaji

  Rais Muhammadu Buhari alishinda uchaguzi mwaka jana akiahidi kubadilisha utajiri wa Nigeria. Zaidi

  Uganda Police Buy Anti-Riot Gear Ahead of Museveni's Re-election Bid

  Critics say security personnel use violence to intimidate opposition supporters; police say equipment to be used to ensure voting is secure Zaidi

  mjadala huu umefungwa
  Comment Sorting
  Maoni
       
  Na: john kashindi
  31.05.2012 14:17
  pole sana ndugu wampendwa na marafiki wa mamiliya ya marehemu Pepe ndombe,pia wapenzi wa rumba,Mungu amwepema peponi.


  Na: Fazae Ascoupf
  30.05.2012 03:51
  Kwa niaba ya Wapenxi wa Pepe Ndombe na Band ya Bana Ok Naipa pole familia yake na pia Kenyan Congomen kwa kmpoteza muimbaji shupavu wa Rumba.Pepe amekua mtu wangu sana.Baby Black yuko kwa hivyo jina lake litadumu kwenye uwanja wa music.RIP


  Na: DAVID IGOBWA
  26.05.2012 02:04
  Nawapa pole kwa familia ya Pepe na wale wote walio mfahamu mwana muziki huyo mpendwa, Na Mungu amwaeke mahali pema peponi,