Jumamosi, Februari 06, 2016 Local time: 05:51

  Habari / Dunia

  Papa Benedict ajiuzulu

  Pope
  Pope
  Papa Benedict wa 16 ameshangaza dunia Jumatatu alipotangaza anajiuzulu ifikapo februari 28, na hivyo kuwa Papa wa kwanza kujiuzulu kwa takribani miaka 600 iliyopita.
   
  Papa aliwashangaza viongozi wa juu wa kanisa alipokutana nao huko Vatican alikotangaza uwamuzi wake. Katika taarifa yake amesema “nilitafakari kwa kina juu ya uamuzi huo.”
   
  Benedict alisema anajiuzulu kwa sababu nguvu zake zimepunguwa sana katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita “kufikia kiwango ambacho ilibidi nitambue uwezo wangu wa kutumikia kikamilifu wadhifa wa kidini niliyokabidhiwa.”
  • Papa Benedict awasalimia umati wa watu kutoka baraza ya kati ya Kanisa la  St. Peter's Basilica mjini Vatican, Aprili 19, 2005.
  • Papa Benedict awasili kuhudhuria mkutano na watawa katika ukumbi wa chuo cha Romano Maggiore mjini Rome, Februari  8, 2013.
  • Pope Benedict waves as he arrives to lead the weekly general audience in Saint Peter's Square at the Vatican April 18, 2012.
  • Pope Benedict wears a sombrero, a traditional Mexican hat, while being driven through the crowd before officiating a mass in Silao, Mexico, March 25, 2012.
  • Pope Benedict holds his cross as he leads a solemn mass in Zagreb, Croatia, June 5, 2011.
  • Pope Benedict visits the Ardeatine Caves Memorial in Rome, Italy, March 27, 2011.
  • Pope Benedict leaves after an audience with Vatican-accredited diplomats at the Vatican, January 10, 2011.
  • Pope Benedict visits the Western Wall, Judaism's holiest prayer site, in Jerusalem's Old City May 12, 2009.
  • Pope Benedict waves to the crowd gathered in Saint Peter's square during his weekly Angelus blessing at the Vatican, May 16, 2010.
  • US President Barack Obama and his wife Michelle Obama meet with Pope Benedict at the Vatican, July 10, 2009.

  Jopo la makadinali litakutana kumchagua Papa mpya mwishoni mwa mwezi wa Februari. .
  Kujiuzulu kwa Benedict kunafungua  uwezekano nadra wa kumuona Papa mpya akisimama pamoja na Papa aliyemtangulia wakati wa kutawazwa kwake.

  Baba mtakatifu Benedict alizaliwa April 16 mwaka 1927 nchini Ujerumani akiwa na jina la Joseph Ratzinger. Aliwekewa mikono ya baraka kuwa kasisi mwaka 1951 na kuwa kadinali mwaka 1977. Joseph Ratzinger alichaguliwa na kuwa Papa Benedict wa 16 mwaka 2005.

  You May Like

  Jioni

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
  VOA Express

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
  Alfajiri

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  mjadala huu umefungwa
  Comment Sorting
  Maoni
       
  Na: Theresia Mowera Kutoka: Arusha - Tanzania
  12.02.2013 09:55
  Wapendwa katika Kristu Tumsifu YEsu Kristu! natumaini umefika
  wakati Wakatoliki tujiulize toka ngazi za juu kabisa ni kweli tunampendeza Mungu kwa matendo yetu?Huyu Baba anaejiuzulu atakuwa amemuomba sana Mungu akimsihi amuepushe na uovu unaokisiri ndani ya dhehebu letu.Hali ni tete sana pale walioweka nadhiri kwa Mungu hawaazishi ila zimekuwa ni mapazia tu! Je endapo ni sisi waumini na jopo la uongozi wetu inakuwa je? Jiulize wewe muumini,Mlei,Padri na Askofu ni kiasi gani umechangia hali ya uovu unaoharibu Milki ya Mungu ndani ya Kanisa Katoliki dunia.Kristu jana na leo na hata milele!Sasa tufanye toba ya kweli na tuachane na mambo ya dunia yanayotupeleka resi hata kusahau ahadi zetu na Mungu Baba yetu wa Mbinguni.