Ijumaa, Machi 06, 2015 Local time: 23:00

Habari / Dunia

Muathiriwa wa ubakaji afariki

Indians gather next to a makeshift memorial to mourn the death of a 23-year-old gang rape victim, in Bangalore, India , Saturday, Dec. 29, 2012.Indians gather next to a makeshift memorial to mourn the death of a 23-year-old gang rape victim, in Bangalore, India , Saturday, Dec. 29, 2012.
x
Indians gather next to a makeshift memorial to mourn the death of a 23-year-old gang rape victim, in Bangalore, India , Saturday, Dec. 29, 2012.
Indians gather next to a makeshift memorial to mourn the death of a 23-year-old gang rape victim, in Bangalore, India , Saturday, Dec. 29, 2012.
Mwanafunzi wa kike nchini India aliyebakwa na genge la watu akiwa kwenye basi mjini New Delhi amefariki dunia katika hospitali  moja ya Singapore. Taarifa kutoka hospitali hiyo ya Mount Elizabeth ilisema mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 23 aliaga dunia mapema  Jumamosi. Waziri mkuu wa India Manmohan Singh alisema amehuzunishwa sana na kifo cha msichana  huyo. Alisema jazba  zinazotokana na kubakwa  kwake na sasa  kifo chake zinaeleweka. Maiti ya mwanamke huyo imrejeshwa India Jumamosi. Mji wa New Delhi umekubwa na maandamano na ghasia tangu shambulizi hilo la kikatili. Maafisa mjini humo wanasema wanajiandaa kukabiliana na maandamano na ghasia zaidi kufutia kifo chake. Mwanamke huyo alikuwa akisafiri  katika basi Desemba 16 na rafiki yake wa kiume wakati waliposhambuliwa  na wanaume sita waliokuwa ndani ya basi hilo. Walipigwa kwa kutumia vyuma na kisha mwanamke huyo kubakwa na wanaume hao. Yaripotiwa pia walimuumiza  vibaya kwenye sehemu zake za siri kwa kutumia chuma na kwamba vipigo alivyopata vilisababisha majeraha kwenye ubongo wake. Hatimaye mwanamke huyo na rafikiye wa kiume walitupwa nje ya basi likiwa bado linakwenda.
mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one
 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Wakenya watoa maoni kuhusu mfumo wa dijitalii
|| 0:00:00
...  
🔇
X
26.02.2015 19:55
Tangu uamuzi wa serikali kuondoa matangazo ya analog Wakenya wamekuwa na maoni tofauti kuhusu mfumo huo na kuzimwa kwa baadhi ya matangazo ya mashirika makuu ya televisheni Kenya