Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 09, 2026 Local time: 22:47

Viongozi wa dunia wahudhuria maziko ya Atta Mills mjini Accra

wakazi wa Ghana wanakwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais John Atta Mills katika jengo la bunge mjini Accra, Ghana, Ogust 9, 2012.
wakazi wa Ghana wanakwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais John Atta Mills katika jengo la bunge mjini Accra, Ghana, Ogust 9, 2012.
Viongozi 18 wa Afrika na wawakilishi kutoka nchi mbali mbali za dunia waungana na maelfu ya Waghana kuhudhuria mazishi ya rais wa zamani John Atta Mills, aliyefariki Julai 24.

Bwana Mills aliyekua akiuguwa kwa muda mrefu na saratani ya koo, alifariki miezi mitano tu kabla ya kugombania mhula wa wake wa pili. Alikua kiongozi wa tatu wa Ghana aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia tangu kurudishwa tena mfumo wa vyama vingi nchini Ghana miaka ya 1990.

Atazikwa karibu na majengo ya serikali katika kasri la karne ya 17 lijulikanao kama Fort Christianborg, au Kasri la Osu.

Maelfu wahudhuria mazishi ya Atta Mills wa Ghana

Rais mpya wa Ghsana Atta Mills, (kulia), akizungumza kwa hisia nyingi wakati wa sherehe za kuapishwa kuwa rais mpya wa nchi mjini Accra, Ghana Wednesday, Jan. 7, 2009.
1/10 Rais mpya wa Ghsana Atta Mills, (kulia), akizungumza kwa hisia nyingi wakati wa sherehe za kuapishwa kuwa rais mpya wa nchi mjini Accra, Ghana Wednesday, Jan. 7, 2009.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Makamu rais Ghana John Mahama is sworn in as new President of Ghana in parliament after the passing of the late Ghana President John Atta Mills in Accra, July 24, 2012.
2/10 Makamu rais Ghana John Mahama is sworn in as new President of Ghana in parliament after the passing of the late Ghana President John Atta Mills in Accra, July 24, 2012.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Watu wanakwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa marhemu Rais John Atta Mills katika jengo la bunge  Accra, Ghana, August 9, 2012.
3/10 Watu wanakwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa marhemu Rais John Atta Mills katika jengo la bunge  Accra, Ghana, August 9, 2012.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Rais John Dramani Mahama wa Ghana (kati) na mkewe Lordina wanawasili mwanzoni mwa siku tatu za ibada za mazishi za marhemu John Atta Mills, Accra, Ghana, August 8, 2012.
4/10 Rais John Dramani Mahama wa Ghana (kati) na mkewe Lordina wanawasili mwanzoni mwa siku tatu za ibada za mazishi za marhemu John Atta Mills, Accra, Ghana, August 8, 2012.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Gari la maiti linasafirisha mwili wa  John Atta Mills hadi jengo la bunge Accra, Ghana, August 8, 2012.
5/10 Gari la maiti linasafirisha mwili wa  John Atta Mills hadi jengo la bunge Accra, Ghana, August 8, 2012.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
John Evans Atta Mills, rais wa Ghana akitembelea ukumbi wa soko la hisa la New York,  Stock Exchange, Alhamisi, Dec. 15, 2011, anazungumza na mtaalamu wa hisa Jennifer Klesaris.
6/10 John Evans Atta Mills, rais wa Ghana akitembelea ukumbi wa soko la hisa la New York,  Stock Exchange, Alhamisi, Dec. 15, 2011, anazungumza na mtaalamu wa hisa Jennifer Klesaris.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Rais Barack Obama akika pamoja  Ghana's Rais John Atta Mills, (kulia), na Rais Yayi Boni wa Benin wakati wa kuzindua mkutano juu ya Usalama wqa Chakula wakati wa mkutano wa viongozi wa G-8 huko Camp David, Mai 19, 2012.
7/10 Rais Barack Obama akika pamoja  Ghana's Rais John Atta Mills, (kulia), na Rais Yayi Boni wa Benin wakati wa kuzindua mkutano juu ya Usalama wqa Chakula wakati wa mkutano wa viongozi wa G-8 huko Camp David, Mai 19, 2012.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Rais Barack Obama akitembea na rais wa Ghana John Atta Mills, (kulia), katika Ikulu ya rais Accra, Ghana, Jumamosi, Julai 11, 2009.
8/10 Rais Barack Obama akitembea na rais wa Ghana John Atta Mills, (kulia), katika Ikulu ya rais Accra, Ghana, Jumamosi, Julai 11, 2009.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Rais John Dramani Mahama  wa Ghana akutana na waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rodham Clinton, kushoto, nyumbani kwake Accra, Ghana, Alhamisi, Aug. 9, 2012
9/10 Rais John Dramani Mahama  wa Ghana akutana na waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rodham Clinton, kushoto, nyumbani kwake Accra, Ghana, Alhamisi, Aug. 9, 2012
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
John Atta Mills atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais na tume ya uchaguzi ya Ghana, Jan 3, 2009.
10/10 John Atta Mills atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais na tume ya uchaguzi ya Ghana, Jan 3, 2009.
Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Previous slide
Next slide

Wachambuzi wanasema kifo chake kimewaunganisha wa Ghana nna kuwa mtihani mkubwa kwa mfumo wao wa kidemokrasia kwa kushuhudia mpito wa amani wa kisiasa. Makamu rais John Dramani Mahama aliapishwa saa chache baada ya kifo cha Bwana Mills.

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa marekani Hillary Clinton alikuwa miongoni mwa wageni wa heshima walohudhuria mazishi hayo. Anakutana na Rais Mahama mjini Accra hii leo.
XS
SM
MD
LG