Jumapili, Mei 24, 2015 Local time: 14:02

Habari / Dunia

Maandamano makubwa yaendelea katika nchi za Kiarabu

Maandamano makubwa yanafanyika katika nchi za kislamu kulaani filamu inayomkejeli Mtume Mohamed iliyotengenezwa hapa Marekani.Polisi wamepambana na waandamanaji Khartoum, sanaa

Waandamanaji wanachana bendera ya Marekani waloivuta kutoka ubalozi wa Marekani Cairo. Sept11, 2012.
Waandamanaji wanachana bendera ya Marekani waloivuta kutoka ubalozi wa Marekani Cairo. Sept11, 2012.
Maandamano yamenedelea kwa siku ya nne mfululizo katika nchi za kislamu kote duniani kulalamika filamu inayomkejeli Mtume Mohamed na kudhalilisha dini ya kislamu.

Waandamanaji wamevamia afisi za ubalozi za Ujerumani na Uingereza, mjini Khartoum  wakati polisi walipambana na waandamanaji nje ya ubalozi wa Marekani mjini Cairo. Polisi walifyetua mabomu ya kutowa machozi kutawanya waandamanji mjini Khartoum, Cairo na Sanaa.

Maelfu ya waandamanaji walivamia mgahawa wa kimarekani wa kuuza kuku Kentucky Fried Chicken katika mji wa Tripoli Lebanon na kulitia moto jengo na baadhi ya wafanyakazi wamefariki.

Akizungumza na Sauti ya Amerika, mhadhir wa chuo kikuu cha Al-Azhar mjini Cairo Ismael Mfaoume anasema waandamanaji walikusanyika pia katika uwanja wa Tahrir wakiitaka serikali kuvunja uhusiano na Marekani.

Mfaoume azungumiza maandamano ya Cairo
Mfaoume azungumiza maandamano ya Cairoi
|| 0:00:00
...    
🔇
X

Serikali mbali mbali za dunia zimeimarisha usalama katika afisi za ubalozi za nchi za Magharibi pamoja na afisi za mashirika ya misaada. Waandamanaji wamekuwa wakitia moto bendera za Marekani na Israel katika miji kadhaa ya nchi za kislamu.

 • An Egyptian protester throws back a tear gas canister towards the riot police during clashes near the U.S. Embassy in Cairo, September 14, 2012.
 • Sudanese policemen try to disperse protesters demonstrating outside the German Embassy in Khartoum, September 14, 2012.
 • Palestinians burn U.S. and Israeli flags during a protest against a film produced in the U.S. that they said that was insulting to Prophet Muhammad, in Gaza City, September 14, 2012.
 • A boy holds a toy gun during a protest in the Palestinian refugee camp of Ain el-Hilweh near Sidon, Lebanon, September 14, 2012.
 • Protesters chant slogans during a march to the U.S. Embassy in Doha, September 14, 2012.
 • An Indian man holds a placard and shouts slogans during a protest in front of the U.S. Embassy in Chennai, India, Sept. 13, 2012.
mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one
 • Je Nifanyeje?
  30 min

  Je Nifanyeje?

  Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Matatizo ya Miundombinu Dar Es Salaami
|| 0:00:00
...  
🔇
X
21.05.2015 05:17
Wakazi wa Dar es Salaam wanasema ukosefu wa miundo mbinu inayostahiki ndiyo inasababisha matatizo ya uchafu, huduma za maji na nishati.