Ijumaa, Mei 24, 2013 Local time: 00:14

Radio / Michezo

Kenya yaongoza na medali za Afrika Olimpiki

Olympics steeplechase final kemboi
Olympics steeplechase final kemboi

makala zinazohusiana

ukubwa wa habari - +
Michezo ya olimpiki mjini London inaendelea huku ikiwa imeingia katika wiki ya kwanza ya mashindano ya riadha na kuzusha wasiwasi miongoni mwa mashabiki wa Kenya kutokana na matokeo ya michezo ya kwanza kwanza – kama vile marathon wanawake na mbio za mita elfu 10 wanawake na wanaume ambapo Kenya imepata medali moja tu ya dhahabu katika mita elfu tatu kuruka viunzi na maji.

Lakini hivyo sivyo wanavyoona maafisa wa team Kenya mjini London. Katika mahojiano na msemaji wa timu hiyo Peter Angwenyi aliambia VOA kuwa Team Kenya inafanya vizuri na mpaka hadi wiki ya kwanza ya mashindano ya riadha haijapoteza hadi medali moja iliyopata Beijing mwaka 2008.




Wakenya waongoza kwa medali Afrika
Loading
12:00:00 / -:--:--

  • Tiki Gelana wa Ethopia akimaliza mbio za marathon wanawake akiwa mshindi na kujinyakulia dhahabu katika michezo ya Olympiki ya London, Aug. 5, 2012 in London.
  • Tiki Gelana wa ethopia akimaliza wa kwanza mbio za marathon
  • Olympics women 1500
  • Ethiopia's gold medal winner Tiki Gelana is flanked by Kenya's silver medal winner Priscah Jeptoo, left, and Russia's bronze medalist Tatyana Petrova Arkhipova during the ceremony for the women's marathon at the 2012 Summer Olympics in London, August 5, 2
  • Olympics steeplechase final kemboi
  •  Usain Bolt wa Jamaica akionesha kidole hewani kabla ya kuanza mbio za mita 100 London, August 4, 2012.
  • Usain Bolt wa Jamaica, kulia akishinda finali ya mbio za mita 100 na kuweka rikodi mpya ya Olimpiki katika micehzo ya London 2012, Jumapili, Aug. 5, 2012.
  • Olympics men 800 heats
  • Muafrika Kusini Oscar Pistorius, kushoto, na Mjamaica Rusheen McDonald wakimaliza mchugo wa mbio za mita  400 wakati wa micehzo ya riadha kwenye uwanja wa  Olympic Stadium, London, August 4, 2012.
  • Olympics Boxing DR Congo
  • Andy Murray wa Uingerezqa akisherekea ushindi wake baada ya kumshinda bingwa wa dunia wa mchezo wa tenis Roger Federer katika finali na kujinyakulia medali ya dhahabu.
  • Michael Phelps akionesha medali yake ya dhahabu katika uwogeleaji wa mita 100 mtindo wa kipepeo na kumfanya mchezaji aliyenyakua medali nyingi kabisa ya dhahabu katika historia ya michezo ya Olimpiki, akinyakua jumla ya 18 . (AP Photo/Matt Slocum)

Mitaani

Loading
12:00:00 / -:--:--