Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 20, 2024 Local time: 02:17

Hoja kwa Hoja: Tatizo la Ubakaji Kenya


Mwanamke aliyevaa minisketi akishirika katika maandamano kupinga ubakaji.
Mwanamke aliyevaa minisketi akishirika katika maandamano kupinga ubakaji.

Mjadala mkali unaendelea miongoni mwa watu nchini Kenya kuhusu matukio ya ubakaji ambayo kulingana na ripoti za polisi yanazidi kutoka mara kwa mara katika maeneo kadha nchini.

Hoja kwa Hoja kuhusu tatizo la ubakaji
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mji wa Mombasa ni mmojawapo wa sehemu ambazo vitendo hivyo vinatokea na kusababisha mjadala mkali kuhusu chanzo cha tabia kama hizo.

Katika makala yetu ya hoja kwa hoja leo wakazi wawili wa Mombasa wanapambana hoja kwa hoja kuhusu swala hilo.

XS
SM
MD
LG