Alhamisi, Septemba 18, 2014 Local time: 19:42

Habari / Afrika

Majeshi ya Ufaransa yapambana na wanamgambo wa kiislam huko Gao.

Kifaru cha Ufaransa kikisindikiza msafara wa majeshi huko  Gao, kaskazini mwa Mali.
Kifaru cha Ufaransa kikisindikiza msafara wa majeshi huko Gao, kaskazini mwa Mali.
Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa anasema majeshi ya Mali na Ufaransa yamesukuma nje waasi wa kiislam ambao walichukua kwa muda mfupi manispaa ya mji huo na nyumba ya Meya katika mji wa Gao kaskazini mwa Mali.

Jean Yves Le Drian aliwaambia waandishi wa habari alhamisi mjini Brussels kwamba wanamgambo watano wa kiislamu  waliuwawa katika mapigano na hali imerudi kuwa ya kawaida.

Mapigano mapya kati ya wanamgambo na majeshi ya serikali yanayoungwa mkono na Ufaransa yalizuka jumatano mjini  Gao,ambao ulichukuliwa tena na  majeshi ya Ufaransa na Mali mwezi uliopita baada ya ukaliaji mabavu wa waasi wa kiislamu. Ripoti zinasema wanamgambo waislam wamerudi Gao usiku na kuchukua udhibiti wa baadhi ya majengo ya serikali.
mjadala huu umefungwa
Comment Sorting
Maoni
     
Na: Anonymous
22.02.2013 13:56
test

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Mgomo wa Wafanyabiashara Dar es Salaam - VOA Mitaanii
|| 0:00:00
...
 
🔇
X
03.09.2014 16:46
Baadhi ya wafanyabiashara wa Dar es Salaam wamefanya mgomo kupinga utumiaji wa mashini za elektroniki zaa kutoa risiti, kuweza kupima mapato yao kwa ajili ya kodi EFD.