Jumatatu, Februari 15, 2016 Local time: 02:07

  Habari / Marekani

  Ohio yashindaniwa vikali na Obama na Romney .

  Wagombea wa kiti cha urais Marekani Barack Obama na Mitt Romney.Wagombea wa kiti cha urais Marekani Barack Obama na Mitt Romney.
  x
  Wagombea wa kiti cha urais Marekani Barack Obama na Mitt Romney.

  Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2012 huwenda ukawa ni wa kihistoria kutokana na ushindani mkubwa ulojitokeza katika siku za mwisho za kampeni ya uchaguzi ambapo Rais Barack Obama yuko takriban sare na mpinzani wake Gavana  Mitt Romney.

  Kutokana na hali hiyo matokeo ya majimbo 7 yenye ushindani mkubwa ndiyo huwenda ikamua nani atakuwa rais mpya wa Marekani

  Moja kati ya majimbo hayo ni Ohio maarufu kama “Buckeye state” ambalo litakuwa ni zawadi kubwa kwa yeyote atakayeshinsda. Jimbo hilo linawajumbe18 na inasemekana hakuna mgombea wa chama cha republican anayeweza kupata ushindi bila ya kushinda jimbo hilo..

  Jimbo hilo lina umuhimu mkubwa kwa vile linawakazi wengi ambao kwa muda mrefu hawaungi mkono chama chechote cha kisiasa na hivyo uwamuzi wao unaweza kubadili hali ya mambo.

  Mpaka sasa magazeti ya Ohio na baadhi ya kitaifa yanabashiri Ohio itachukua muda mrefu kutoa majibu ya kura wakati huo huo wakiongeza kwamba kuna uwezekano wa kura kuhesabiwa tena kutokana na malalamiko ambayo yameshafikishwa mahakamani kutokana na kasoro katika utaratibu wa upigaji kura. .

  Immanuel Lyatuu, mkazi wa Columbus, Ohio anasema kila kambi inadai itapata ushindi na hali ni ya kusisimuwa katika jimbo hilo lililotembelewa mara nyingi kuliko jimbo jingine lolote lile  na wagombea wa pande zote.

  Lyatuu azungumzia uchaguzi wa Ohio
  Lyatuu azungumzia uchaguzi wa Ohioi
  || 0:00:00
  ...    
   
  X

  Anasema wakazi wengi wa jimbo hilo walikuwa wakitumiana ujumbe wa simu kuhudhuria mkutano wa mkutano wa Obama  uliofanyika mkesha wa siku ya uchaguzi Romney alitembelea jimbo hilo siku ya uchaguzi ili kuwahamasisha wafuasi wao kupiga kura.

  You May Like

  Jioni

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

  VOA Express

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
  Alfajiri

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.