Alhamisi, Februari 11, 2016 Local time: 15:55

  Makala Maalum / Uchaguzi Marekani 2012

  Wamarekani kuhitimisha upigaji kura Jumanne.

  • President Barack Obama waves to supporters during a campaign event at McArthur High School, Hollywood, Florida, November 4, 2012.
  • Republican presidential candidate Mitt Romney speaks during a campaign event at the Newport News International Airport, Newport News, Virginia, November 4, 2012.
  • A panoramic view of President Obama's rally at the Wisconsin State Capitol in Madison, November 5, 2012. (Kane Farabaugh/VOA)
  • A panoramic view of President Obama's rally at the Wisconsin State Capitol in Madison, November 5, 2012. (Kane Farabaugh/VOA)
  • Republican vice presidential candidate Paul Ryan speaks during a campaign event at the Douglas County Fairgrounds, Castle Rock Colorado, November 4, 2012.
  • President Barack Obama speaks at a campaign rally at the Community College of Aurora, in Aurora, Colorado, November 4, 2012.
  • A supporter listens to President Obama at a campaign event at Austin Straubel International Airport in Green Bay, Wisconsin, November 1, 2012.
  • Wearing a mask on Halloween, Carol Heye of Riverview, Florida, shows her support for Mitt Romney as he campaigns in Tampa, Florida, October 31, 2012.
  • Supporters listen to Republican Presidential candidate Mitt Romney during a rally at the Veterans Memorial Coliseum in Marion, Ohio, October 28, 2012.
  • Vice President Joe Biden speaks at a campaign rally at the Municipal Auditorium in Sarasota, Florida, October 31, 2012.
  • An Obama supporter casts his ballot early at an outdoor ballot box in Denver, Colorado October 30, 2012.

  Jumanne ni siku muhimu kwa wapiga kura wa Marekani kuhitimisha zoezi la upigaji kura katika majimbo yote ili kumpata mshindi katika uchaguzi wa urais ulio na ushindani mkubwa.

  Rais wa Marekani Barack Obama na mpinzani wake Mitt Romney siku ya jumatatu walifanya kampeni za  dakika za mwisho kwa wapiga kura katika majimbo muhimu ikiwa imebakia siku moja kabla ya uchaguzi katika juhudi za mwisho kuvunja ushindani.

  Katika majimbo ya wisconsin , rais Obama alimshutumu bwana Romney kwa kujaribu kurejesha mawazo mabaya aliyoyatoa kabla na kusema taifa haliwezi kufanikiwa bila kuwa na daraja la kati lenye nguvu.

  Kwenye mkutano wa jana asubuhi katika jimbo la kusini la Florida bwana Romney aliwaambia wafuasi wake kwamba kiongozi huyo aliyoko madarakani Mdemocrat ameshindwa kutekeleza ahadi zake wakati aliposhinda kiti cha urais mwaka 2008.
  mjadala huu umefungwa
  Maoni
       
  Hakuna mtu ameandika maoni hapa. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.