Jumatatu, Aprili 27, 2015 Local time: 07:02

Habari / Afrika

CIA Marekani yatoa maelezo kuhusu shambulizi la Benghazi.

Ubalozi wa marekani Bengazi ulioharibiwa.Ubalozi wa marekani Bengazi ulioharibiwa.
x
Ubalozi wa marekani Bengazi ulioharibiwa.
Ubalozi wa marekani Bengazi ulioharibiwa.

Maafisa wa idara ya kijasusi  wa Marekani wametoa ripoti ya kina kuhusu kilichotokea katika shambulizi la mauaji kwenye ubalozi wa Marekani mjini Benghazi, Libya katika kujibu shutuma kwamba hakukuwa na hatua za kutosha zilizochukuliwa kuzuiya shambulizi hilo.
Wakizungumza kwa masharti ya kutotambulishwa maafisa wa ngazi za juu wa ujasusi waliwaambia waandishi wa habari siku ya ijumaa kwamba CIA ilipeleka kundi la uokozi katika kituo cha karibu cha jeshi ndani ya dakika 25 walipotaarifiwa kuhusu shambulizi hilo lililomuuwa balozi wa Libya na wamarekani wengine watatu.
Lakini amesema kundi hilo lenye wajumbe sita halikuwasili hadi dakika 25 baada ya tukio, kwa sababu ya kushindwa kupata msaada kutoka kwa wanamgambo wa Libya wakiwa na silaha nzito na  pia kwa sababu walishambuliwa wakati walipokuwa wanawasili kwenye ubalozi huo.
Maafisa wa CIA wameripoti kwamba walibaki ndani ya ubalozi huo kwa muda wa saa moja kabla ya kuondoka na wamarekani wote  isipokuwa  balozi ambae alikuwa amechukuliwa kupelekwa kwenye hospitali ya karibu na eneo  la shambulizi.
 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Je Nifanyeje?
  30 min

  Je Nifanyeje?

  Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • Je Nifanyeje?
  30 min

  Je Nifanyeje?

  Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Mbio za Boston Marathon, April 20, 2015i
|| 0:00:00
...  
🔇
X
21.04.2015 00:06
Mwanadada wa Kenya Caroline Rotich aliibuka mshindi wa mbio ndefu za Boston Marathon upande wa wanawake na Lelisa Desisa wa Ethiopia alirudia ushindi wake wa mwaka jana kwa kushinda mbio za wanaume siku ya Jumatatu April 20.