Ijumaa, Mei 22, 2015 Local time: 17:29

Radio / Michezo

Ratiba ya kombe la Afrika kutoka Jumatano

Mchuano kati ya Ivory Coast na Zambia katika fainali za mwaka 2012.Mchuano kati ya Ivory Coast na Zambia katika fainali za mwaka 2012.
x
Mchuano kati ya Ivory Coast na Zambia katika fainali za mwaka 2012.
Mchuano kati ya Ivory Coast na Zambia katika fainali za mwaka 2012.
Macho yote ya wapenzi wa kandanda wiki hii yatakuwa Afrika Kusini Jumatano October 24 ambapo itafanyika ratiba ya fainali ya kombe la mataifa barani Afrika hapo Januari mwakani.

Ratiba hiyo inayosubiriwa kwa hamu itaamua kila timu itakuwa katika kundi gani kati ya timu 16 ambazo zimefuzu kuingia fainali hizo. Timu hizo ni angola, Algeria, Burkina Faso, Cape Verde, DRC, Morocco, Ethiopia, Mali, Tunisia, Niger, Ghana, Togo, Zambia, Ivory Coast na wenyeji Afrika Kusini.

Michezo Oktoba 22, 2012
Michezo Oktoba 22, 2012i
|| 0:00:00
...    
🔇
X


Kutoka mjini mwandishi wetu James Shimanyula anaripoti kuwa shirikisho  linalosimamia  kandanda  Afrika  Mashariki  na  Kati  CECAFA,  lenye  makao  yake  Nairobi,  limetangaza  kwamba  mashindano  ya  kandanda   ya  Senior  Challenge  Cup,  yataanza  rasmi  huko  Uganda  kuanzia  Novemba  24  hadi  Desemba  8.  Mashindano  haya  ya  kila  mwaka  yatashirikisha  timu  11. James  Shimanyula  alimuuliza  Nicholas  Musonye  ni  katibu  mkuu  wa  CECAFA kutaja  majina  ya  timu  zitakazoshiriki,  pakiwemo   timu  ngeni.Na kutoka Dar es salaam mwandishi wetu wa Tanzania, George njogopa, anatuletea ripoti kuhusu ligi ya soka nchini humo.

Na katika habari nyingine za kimataifa mwendesha baiskeli maarufu duniani Lance Armstrong wa Marekani amevuliwa mataji yake yote saba aliyopata katika mbio za Tour de France na shirikisho la mchezo huo duniani. Hatua hiyo inafuatia uchunguzi uliofanywa na chama cha baiskeli cha Marekani ambacho kinasema Armstrong alikuwa akitumia madawa wakati wote anashinda mbio hizo na nyingine za kimataifa. Matokeo yote ya Armstrong tangu august mosi 1998 yamefutwa.
 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

 • Alfajiri
  30 min

  Alfajiri

  Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

 • Jioni
  30 min

  Jioni

  Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

 • VOA Express
  30 min

  VOA Express

  VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za...

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Matatizo ya Miundombinu Dar Es Salaami
|| 0:00:00
...  
🔇
X
21.05.2015 05:17
Wakazi wa Dar es Salaam wanasema ukosefu wa miundo mbinu inayostahiki ndiyo inasababisha matatizo ya uchafu, huduma za maji na nishati.