Jumatano, Februari 10, 2016 Local time: 21:01

  Sauti / Wanawake

  Kenya yapata Mwanamke wa Kwanza Kuendesha Feri

  Mishi Idi Omar, nahodha wa Feri huko Likoni, Mombasa.

  19.01.2016 21:09
  Mishi ni mwanamke wa kwanza nchini Kenya kuwa nahodha wa Feri. Zaidi

  sauti Changamoto Mbali Mbali Zachangia kwa Wanawake Kutowania Uongozi Kenya

  Ushiriki wa wanawake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2013 nchini Kenya ulikuwa wa chini licha ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2010.

  Msichana mwenye saratani ajishughulisha na ubunifu wa mitindo

  Msichana Noa anasema tiba ya mionzi ilimfanya awe mbunifu wa mitindo ili kukabiliana na matibabu ya saratani.

  Rais Obama: Wanawake wa Afrika wana mchango mkubwa kwa maendeleo

  Tuheshimu uhuru wa wengine bila ya kujali rangi ya ngozi yao, wanavyoabudu au wao ni kina nani na wanampenda nani, sote tuko huru.

  Wanaharakati wa Misri wasema ukeketaji umeongezeka

  Wanaharakati wa Misri wana wasi wasi ukeketaji wa wanawake utaongezeka zaidi katika miezi ijayo.

  Huduma za afya kwa wanawake Sierra Leone ni tatizo

  Huduma ya bure ya afya kwa wanawake wajawazito nchini Sierra Leone ni changamoto kubwa wa wizara ya Afya na jamii kwa ujumla.