Alhamisi, Julai 31, 2014 Local time: 07:23

Habari / Dunia

Israel yaongeza muda wa kusitisha mapigano kwa saa 24

Wazirir wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry, watatu kutoka kushoto, anasimama na mawaziri wenzake kutoka, Qatar, Uturuki, Ufaransa Uingereza, Ujerumani na Utaliana baada ya kukutana Paris kujadili mzozo wa Gaza. July 26, 2014, Paris.

27.07.2014 04:18
Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani, Utaliana na Qatar walikutana Paris Jumamosi na kutowa wito wa kupatikana usitishaji wa kudumu wa mapigano huko Gaza. Zaidi

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Maoni ya Wakenya kuhusu Sabasabai
|| 0:00:00
...
 
🔇
X
04.07.2014 15:03
Baadhi ya Wakenya waeleza maoni yao kuhusu mkutano wa hadhara ulioitishwa na wanasiasa wa Cord katika uwanja wa Uhuru Park mjini Nairobi