Jumamosi, Septemba 20, 2014 Local time: 13:56

Wanasayansi waonyesha ramani ya maambukizo ya Ebola kutoka kwa wanyama

Ramani ya Afrika ikioonesha maeneo ambayo watu wana ambukizwa na virusi vya Ebola kutoka wanyama pori

08.09.2014 21:38
Wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford wameonyesha ramani ya maeneo ambako wanyama huenda wana maambukizo ya virusi vya ebola, ikiwa ni hatua ya kwanza kutabiri wapi ugonjwa huu utazuka hapo baadaye. Zaidi

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Mgomo wa Wafanyabiashara Dar es Salaam - VOA Mitaanii
|| 0:00:00
...
 
🔇
X
03.09.2014 16:46
Baadhi ya wafanyabiashara wa Dar es Salaam wamefanya mgomo kupinga utumiaji wa mashini za elektroniki zaa kutoa risiti, kuweza kupima mapato yao kwa ajili ya kodi EFD.