20:52 - 20:57 Jumatatu 20 Mei
Polisi wavamia ofisi za Daily Monitor na kuanza upekuzi wa kutafuta barua inayohusiana na ripoti ya urithi wa kiti cha rais
21:36 - 21:54 Ijumaa 17 Mei
Mazungumzo juu ya mfumo mpya wa utawala Kenya na changamoto za utawala.
19:51 - 20:05 Jumatano 15 Mei
Mahojiano na Deus Kibamba.
18:01 - 18:05 Jumamosi 11 Mei
Miongoni mwa vituko vya wiki hii mwanamke arudi nyumbani baada ya kutoweka kwa miaka 20 huko magharibi mwa Kenya
16:54 - 17:13 Jumamosi 11 Mei
Balozi Augustine Mahiga anazungumzia juu ya changamoto zinazoikabili serikali mpya ya Somalia na mustakbal wa nchi hiyo hivi sasa.
21:28 - 21:31 Jumanne 7 Mei
Mkutano wa viongozi juu ya Somalia umemalizika Londo kwa kuahidi msaada mkubwa wa maendeloe kwa serikali mpya
21:28 - 21:32 Jumanne 7 Mei
Mkutano wa London ni muhimu kuitambulisha serikali mpya na kuna matumaini makubwa ya kupata msaada.
22:04 - 22:23 Ijumaa 3 Mei
04:23 - 04:25 Jumatano 17 Apr
Wabunge wa chama tawala cha MRN wanaodaiwa wamekihama chama wamefukuzwa kutoka bungeni .
06:45 - 06:49 Jumanne 9 Apr
wakenya wasubiri kwa hamu sherehe za kihistoria za kuapishwa rais mpya aliyechaguliwa katika uchaguzi wa amani.
06:21 - 06:24 Jumatano 27 Mac
Mahakama kuu ya Kenya imeanza kusikiliza malalamiko ya mungano wa CORD kuhusiana na matokeo ya uchaguzi wa rais
06:56 - 07:00 Ijumaa 8 Mac
Lazima wanasiasa waiachie IEBC kuendelea na kazi zake
23:25 - 23:28 Alhamisi 7 Mac
23:18 - 23:23 Ijumaa 22 Feb
Ole Kiyapi ni mgeni katika siasa za Kenya na anamatumaini kuleta damu mpya katika mageuzi nchini humo.
23:15 - 23:18 Ijumaa 22 Feb
Muite mwanasheria muasisi wa chama cha Safina anamatumaini ya kushinda na kuleta mabadiliko makubwa nchini Kenya
23:13 - 23:16 Ijumaa 22 Feb
Raila Odinga waziri mkuu amekuwa akiongoza katika uchunguzi wa maoni na anatarajia safari hii atapata ushindi kwa urahisi kuliko wakati wa uchaguzi wa 2007
23:07 - 23:10 Ijumaa 22 Feb
Martha Karua ni mwanamke wa kwanza kugombania kiti cha rais Kenya
16:03 - 16:05 Alhamisi 21 Feb
19:15 - 19:18 Jumatatu 18 Feb
Askofu Mkuu alaumu idara za usalama kwa kushindwa kudhibiti ghasia za kidini.
19:12 - 19:15 Jumatatu 18 Feb
Uhuru amejibu tuhuma za Raila kwamba serikali inapanga njama ya kumibia kura wakati wa uchaguzi
Kesi ya utekaji nyara wa wasichana watatu Marekani yashtua wengi Marekani na nje ya Marekani.
Shutuma hizo zimewashtua raia wengi huko Uganda.
UAE ilithibitisha kwamba raia wake watatu walikamatwa nchini Tanzania kufuatia tukio hilo la mlipuko wa bomu mjini Arusha
Wabunge waaamua kutoa posho yao ya siku moja kwa ajili ya kuwafariji wahanga wa shambulio hilo.
Wafadhili waahidi kutoa msaada zaidi, huku wafanyabiashara na wawekezaji wakutana kujadili namna ya kufanya biashara katika Somalia mpya.
Serikali ya Uganda imetoa vifaa vya dharura na chakula kwa watu walioathirika na mafuriko hayo
Rais Kikwete asema wako tayari kupambana na wahalifu wote ikiwa ni pamoja na magaidi na washirika wao ndani na nje ya nchi.
Maafisa wa Somalia wanakutana London kwa kongamano kuu Jumanne linaloleta pamoja washirika wa kimataifa kusaidia katika ujenzi mpya wa Somalia.
CPJ inasema mauaji ya waandishi wa habari 80 bado hayajatatuliwa tangu mwaka 1992 na waandishi 41 barani Afrika bado wapo gerezani.
Wasomali 260,000 walipoteza maisha kutokana na njaa mwaka wa 2010-2012.Vifo ambavyo vingezuilika kwa msaada wa dharura wa jamii ya kimataifa
Ahmad Abolfathi Mohammad na Sayed Mansour Mousavi walikamatwa Juni 2012 na kukutwa na maafisa wakiwa na kilo 15 za milipuko aina ya RDX.
Waziri wa ulinzi Abdihakim Haji Mohamud Fiqi asema jeshi thabiti la kitaifa litakalowakilisha kanda zote za nchi ni kipaumbele cha wizara yake.
Tangazo la Uingereza lililotolewa siku ya Jumanne kwamba itasitisha misaada yake yote kwa Afrika Kusini kuanzia 2015, limezusha malalamiko na mshangao Pretoria.
Kitisho hicho kimetolewa wakati mazungumzo ya amani yanaonekana kukwama kati ya waasi na serikali ya Congo.
Msemaji wa serikali ya DRC Lambert Mende asema waasi ndiyo waliojiondoa kwenye mazungumzo ya amani ya Kampala
Mazungumzo hayo yalifuatia makubaliano ya viongozi katika mkutano wa kimataifa kwenye nchi za maziwa makuu kusaidia kumaliza ghasia mashariki mwa DRC.
Viongozi wa mataifa matano ya Afrika Mashariki wataka maelezo zaidi kutoka mawaziri wao kabla ya kuidhinisha kuanzisha sarafu na soko la pamoja.
Miongoni mwa majina yaliyotangazwa Alhamis alikuwepo Raychelle Omamo, ambaye kama uteuzi wake ukipita atakuwa waziri wa ulinzi.
Mshindi huyo wa tuzo ya Nobel awali alifanyiwa upasuaji wa saratani ya kibofu mwaka 1997 na mara nyingine mwaka 1999.
Jerbo alikuwa kiongozi wa zamani wa kundi la SLA-Unity mkoani Darfur ambalo baadaye liliungana na kundi la The Justice and Equality Movement.