Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 18, 2024 Local time: 16:42

Wapinzani Kenya kumng’oa Kenyatta


Rais Uhuru Kenyatta
Rais Uhuru Kenyatta

Madai makubwa ya wapinzani ni kuwa Rais Kenyatta ameshindwa kushughulikia masuala ya madai ya waalimu na kadhia ya rushwa ilitokithi nchini humo.

Bunge la Kenya limefunguliwa tena Jumanne alasiri, huku wabunge wa Upinzani wakijiandaa kuwasilisha mswaada maalum wa kutokuwa na Imani na uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta.

Madai makubwa ya wapinzani ni kuwa Rais Kenyatta ameshindwa kushughulikia masuala ya madai ya waalimu na kadhia ya rushwa ilitokithi nchini humo.

Itakumbukwa kwamba pamoja na mahakama ya viwanda kuwataka waalimu kurejea kazini nchini humo lakini , chama chjaop kiliwahamasisha kuendelea kubaki nyumbani hadi pale watakapolipwa mishahara yao.

Maelezo zaidi mwansishi wetu Mwai Gikonyo anatuarifu kutoka Nairobi.

Wapinzani kumng'oa Kenyatta
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:03 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


XS
SM
MD
LG