Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 11:52

Wanajeshi 400 wa Sudan Kusini waripotiwa kuuwawa katika mapigano.


Mzozo juu ya Heglig na vinu vyake vya mafuta vyenye utajiri umepelekea wasi wasi wa vita kamili.

Maafisa wa Sudan wanajeshi 400 wa Sudan Kusini waliuwawa wakati wa mapigano katika mzozo wa mji wa Heglig, eneo la kuzalisha mafuta linalodaiwa na nchi zote mbili.

Majeshi ya Sudan Kusini yamekamilisha uondokaji wao Heglig jumapili, wakisema idadi ya askari waliouwawa ni ndogo na kile Sudan wanachodai. Idadi ya waliojeruhiwa Sudan ni haiwezekani kuthibitisha.

Mzozo juu ya Heglig na vinu vyake vya mafuta vyenye utajiri umepelekea wasi wasi wa vita kamili ikiwa ni chini ya mwaka mmoja baada ya Sudan kusini kujitangazaia uhuru wake kutoka kaskazini.

XS
SM
MD
LG