No media source currently available
Rais Barack Obama ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara ya mwisho kama kiongozi wa Marekani, akitoa wito kwa viongozi kuheshimu matakwa ya wananchi wao.