Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 23:32

Mwili wa mlinzi wa Mbabazi watafutwa Uganda.


Mgombea wa kiti cha urais Uganda, Amama Mbabazi ambae mwili wa mlizi wake unatafutwa.
Mgombea wa kiti cha urais Uganda, Amama Mbabazi ambae mwili wa mlizi wake unatafutwa.
Msako wa siku nzima katika vyumba vya kuhifadhi maiti unaendelea jijini Kampala Uganda kuutafuta mwili wa aliyekuwa mlinzi mkuu wa mgombezi wa urais Amama Mbabazi, Christopher Aine.
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:44 0:00
Kiungo cha moja kwa moja
Aine alitoweka punde tu baada ya ghasia zilizowaacha watu 17 na majeraha mabaya baada ya wafuasi wa rais Museveni kuvamia mkutano wa Mbabazi mjini Ntungamo wiki chache zilizopita.
Msako umechochewa na gazeti moja jijini Kampala kuchapisha picha inayodaiwa kuwa ya mwili wa Aine ukivalishwa nguo katika chumba cha kuhifadhi maiti. Familia ya Aine imeshurutisha maafisa polisi kufanya msako huo.
XS
SM
MD
LG